TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Saturday, April 6, 2013

SINA MAKOSA -TIMBULO


Wimbo mwingine wa Icon wa muziki Bongo Timbulo, ameachia ngoma inayokwenda kwa jina la "SINA MAKOSA" Ambapo yeye mwenyewe amesema kwa asilimia 90 ya wimbo huu ni maisha yake yeye mwenyewe ambapo tangu alipoanza na wimbo wa "DOMO LANGU'' mpaka huu wa sasa ni episod ya maisha yake yaani ni muendelezo ya matukio yanayomtokea yeye kwenye maisha ya mapenzi.

0 comments:

Post a Comment