W.O.B {WORLD OF BENEFIT} YATENGENEZWA KIATAIFA.WORLD OF BENEFIT KUJA KUTISHA.....
| ||||||||||||
BAGGA ALIYEKUA MUIGIZAJI WA JUMBA LA DHAHABU (KULIA) AKIWA ;;ONSETT'' |
BAADA YA KIMYA KINGI SASA DULLA WEZI (CAMERAMAN) AAMUA KURUDI KWENYE GAME YA MOVIE. |
;;HAPA NI MAINDA MWENYE GAUNI LA BLUE NA KUSHOTO KWAKE NI SASHA BINTI ANAYEKUJA KASI SANA KWENYE GAME YA MOVIE... |
DULLA WEZI KAZINI...... |
MAINDA NA BAGGA ONSSET....... |
KUTOKA KUSHOTO, MAINDA, BAGGA, SASHA NA DULLA WEZI CAMERAMAN... |
KWA HISI MAINDA NDIYO MWENYEWE..... |
''HAPANA CHEZEA MAINDA WEWE KWA KULIA TU''' |
''Nikiwa onset tayari kwa kuanza kupiga picha za filamu yangu mpya iitwayo ''MR. NOBODY'' |
Wahusika wengine walishiriki kwenye filamu hii ya ''MR. NOBODY'' ni Shilole, Adamu Kuambiana na wengine wengi. Usikose filamu hii ya kimapinduzi kabisa. |