TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Saturday, April 6, 2013

NAWAKARIBISHA WOOTE KWENYE TAMASHA LA KANUMBA LEDEARZ

Tarehe 7/4/2013 tunaazimisha mwaka mmoja tangu kufariki kwa muigizaji mwenzetu Steven Charles Kanumba, kwa kukumbuka kwetu mimi binafsi nikishirikiana na wasanii wenzangu nimeandaa Filamu inayoelezea maisha ya Kanumba baada kufa ambayo tutaionesha pale Ledearz tarehe hiyo. Hakuna kiingilio ni bure kabisa na sisi Wasanii tutaanzia kanisani, tutenda kaburini halafu tutaelekea Ledearz kwaajili ya kujumuika na Watanzania wenzetu katika kusheherekea kwa pamoja. Pia ukumbukwe kutakua na wasanii wengi wa vichekesho kabla ya kuzionesha hizo Filamu mbili amba[po ni AFTER DEATH na LOVE AND POWER. Muda ni kuanzia saa kumi na moja jioni na kuendelea.

0 comments:

Post a Comment