TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

AWARDS


''NAWASHUKURUNI SANA WATANZANIA''

Nawashukuru sana Watanzania kwa kunipigia kura na kunifanya kuwa mshindi wa wa 'IJUMAA SEXIEST GIRL' (Msichana mwenye mvuto 2012-1013) Naamini wao ndiyo walioona mimi nafaa kunyakua Tuzo hii. Pia uongozi mzima wa Global Publishers kwa kuaandaa shindano hili.

''NAWASHUKURUNI SANA WATANZANIA''

Tuzo kwa heshima ya Bongo movie Club, heshima niliyonayo kwa watu wote.
Tuzo hii ilikua ni kwaajili ya heshima ya kazi yangu na kuungwa mkono na Mashabiki wangu popote inapoonekana kazi yangu ya uigizaji.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu, mashabiki wangu, pia nawashukuru  sana Steps waandaaji wa Tuzo hizi.


''Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunitunuku tuzo hii ya SEXIEST ACTRESS, kwa mwaka 2010. Pia nawashukuru Watanzania wote wanaoona mchangu wangu kwa jamii, nawalewote waliofanikisha kupata tuzo hii iliyoandaliwa na ''SFC'' sina la kuwalipa ila Mwenyezi Mungu atawalipia mara dufu.