Bw. Aggrey Marealle mkurugenzi mkuu wa Excutive Solution akiongea jambo na waandishi wa habari katika hafla hiyo. |
Jacquline Wolper kulia (kulia) akiambatana na rafikiye Nesh wakiwa ndiyo wanaingia kwenye uzinduzi huo. |
Celebrity mbalimbali wa Bongo nao walijumuika pamoja, kushoto ni Ant Ezekiel akifurahia jambo na Jacquline Wolper. |
Wolper na mtoa huduma kwenye hafla hiyo. |
''Ant Ezekiel (kushoto) na Nesh (kulia)'' |
Bendi ya Machozi Band ikitumbuiza kwenye ukumbi ilipofanyika uzinduzi huo hapo Nyumbani Lounch. |
Isha Ramadhani na Wolper kwenye picha ya Pamoja. |
Evans Bukuku mchekeshaji wa majukwaa naye alijumuika pamoja. |
Jenifa Kyaka (kushoto) akiwa na Jacquline Wolper. |
''CELEBRITY WA BONGO'' |
''Haya Vicent Kigosi na Bongo movie wenziye. |
Rachel Haule (mwenye hereni) akiwa sambamba na Jacqulinew Wolper. |