TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

CELEBRITY

URAFIKI WA KWELI NDIYO NGAO IMARA MAISHANI.

VICENT KIGOSI (RAY) KUSHOTO NA WEMA ISSACK SEPETU (KULIA) KWENYE MOJA YA MATAMASHA WAKIWA PAMOJA.

ILHAM WOLPER MASSAWE  (KATIKATI) PAMOJA NA WEMA SEPETU KULIA NA RAFIKI YAO KIPENZI.

WEMA SEPETU NA MARTIN KADINDA AMBAYE NI MANEGER WA WEMA SEPETU PIA NI MWANAMITINDO.

WEMA NA SWAIBA WAKE ANT EZEKIEL KATIKA MOJA YA ZIARA YAO MKOANI.

KUTOKA KULIA NI ROMMY JOHNS VIDEO MODAL, AKIFUATIWA NA WEMA SEPETU, PAMOJA NA MARTIN KADINDA.

STEVEN MENGELE 'STEVE NYERER' AKIWA SAMBAMBA NA WEMA SEPETU KWENYE TAMSHA LA BONGO MOVIE.

WEMA PAMOJA NA BENI KINYAIYA AMBAYE NI MUIGIZAJI PIA NIMTANGAZJI WA KITUO CHA RUNINGA CHA TBC1.

WEMA TENA KWENYE PICHA NA WATO KUONESHA ANA UPENDO NA WATU WA RIKA ZOTE.

KUTOKA KUSHOTO NI WEMA SEPETU, OMOTOLA TOKA NIGERIA NA MWANAMITINDO MAHIRI NCHINI TANZANIA MWANAMBOKA.



Bahati Bukuku akiwa anapiga picha za video ya wimbo wake wa ''DUNIA HAINA HURUMA''
Tayari ''ONSET''
Bahati Buku akiongea na mdau wetu kua wimbo huu wa 'DUNIA HAINA HURUMA' anatarajii kuiweka kwenye Filamu, kwa hiyo mashabiki wake wasubiri video ya wimbo huo na Filamu ambapo swala la Location limeshakamilishwa na kijana ajulikanaye kama Lyumba.
''Subirini kuona mapinduzi makubwa kwenye muziki wangu wa Injili. Kwani nitaweka kwenye Video na Filamu.
 WASANII WAJUMUIKA KUMUAGA BABA WA HARTMAN MBILINYI.

Kulia ni Hartman Mbilinyi akiusubiria mwili wa aliyekua Baba yake mlezi.

Hartman akiuga mwili wa Baba yake Mlezi Bwana Gibron Lewi Temu.

Baadhi ya wadau wa Filamu nao walijumuika na ndugu wa Marehemu nyumbani kwake katika kuaga mwili wa Marehemu.

Kama ilivyo kawaida Wasanii nao walikua mstari wa mbele.





''SHILOLE...''

Waombolezaji wakiusubiri mwili wa marehemu, kwaajili ya kuupeleka kanisani kabla ya kusafirishwa kuelekea Moshi Kilimanjaro.

Mwili ukupelekwa kanisani.

Jacob Steven 'JB' kulia, akiteta jambo na Steven Mengele 'Steve Nyerere' kushoto.

Jacob Steven 'JB' akiwasilisha rambi rambi kwa ndugu wa Marehemu.


DIAMOND HATUNAE TENA...!!!

"Diamond hatunae tena"....hiyo ndo ingekuwa heading na kichwa cha habari cha media na watu wengi kwenye social networks na simu zao za mikononi kwa siku ya jana....Kiukweli hali yangu ilikua ni mbaya sana,nilizidiwa na homa kali ya ghafla iliyosababishwa na kifua kilichonisumbua kwa takribani wiki mbili mfululizo....hadi kupelekwa Heameda Medical Clinic kwa Doctor Hery M. Mwandolela, Specialist wa Heart and Cough kwa uchunguzi na vipimo vikubwa maana hali haikuwa ya kawaida.....namshkuru Mwenyezi Mungu baada ya vipimo vyote iligundulika ni kifua cha kawaida tu ila kilisababishwa na tour na ziara nyingi nilizozifanya mikoa na nchi mbalimbali kwa mfululizo bila mapumziko ya kutosha..
kwa sasa hali yangu si mbaya sana...nawashukuru wote mliokuwa mkiniombea kupitia Blogs, Twitter, Bbm, Facebook...etc, na Media zote niweze recover. PICHA NA HABARI KWA MUJIBU WA THISISDIAMOND.COM













SLIM, MSUNGU NA WOLPER NDANI YA MALIPO....

Msungu akiwa anafanyiwa make-up tayari ya kuanza kazi...
''Chiddy Classic'' na Classic Production akikagua monitor yake kama kipande anachoenda kukipiga kitakua sawa.
Chiddy Classic kushoto akiwa na Director Leah Richard ''LAMATA'' katikati akifuatilia kwa umakini scene iliyokua ikiendelea.
Jacquline Wolper kushoto akiwa na Msungu ''SENATOR'' wakiwa kwenye scene ya Filamu hiyo...
''WOLPER ONSET''......

Msungu akijiandaa kwa scene nyingine....
Wolper, Msungu wakiwa onset kwenye filamu yao mpya....
Msungu yuko makini kusikiliza maagizo ya Director LAMATA...


WOLPER akijiandaa baada ya kufanyiwa make-up.....
Director LAMATA akimpa Wolper maelekezo ya jinsi gani anatakiwa acheze kulingana na scene yenyewe.
Namshukuru Mungu sana kuniweka hai mpaka leo, na kuingia tena Location kufanya Filamu nyingine inayokwenda kwa jina la ''MALIPO'' Pia najisikia furaha sana kufanya kazi na Celebrities kadhaa wa Tanzania katika kazi hii mpya. Ninachoweza kushukuru pia ni wanaonivumilia na kunisubiri mpaka muda wa kufuturu ukifika ndiyo naingia location. Pia mashabiki wangu wasubiri kazi yangu mopya niliyocheza kama MWANAJESHI na ASKARI MPELELEZI ijulikanayo kama ''THE ENGINEER'' na itasambazwa na walewale PAPA-ZI 





SIWASUJUDII VIWAVI JESHI ILIVYODATISHA...

Isha Ramadhani (ISHA MASHAUZI) alipokua akiingia ukumbini na style ya Siwajudii viwavi jeshi.

Akitumbuiza mashabiki kwenye ukumbi wa Travetine Magomeni.

Isha Mashauzi kwenye jukwaa.

Bilal Mashuzi 'kulia' akiwa na Isha Mashauzi kwenye uzinduzi ya 'SIWASUJUDII VIWAVI JESHI'

Shabiki wa Mashauzu Classic akiselebuka na Isha Mashauzi.

Huyu ni Abdumalik, muimbaji wa kundi la Mashauzi Classic ambaye alipagawisha na wimbo wake wa 'SITAKI TENA KUPENDA.'

''AKIIMBA..''



Hii ndiyo Style ya akiimba wimbo huu wenye historia ya kweli ya maisha yake.


Mpiga gitaa wa Mashauzi classic.

MASHABIKI.

Mama mzazi wa Isha Ramadhani naalitumbuiza siku ya Uzinduzi wa Siwasujudii Viwavi Jeshi.

Mashabiki wakiselebuka kwenye uzinduzi.