TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, November 10, 2011

"NO PAIN NO GAIN"

Jacinta Muteshi, ni mwanamke wa  Kiafrika amabaye kabla hajafanikiwa amepitia kazi mbali kama hii ufundi seremala au kwa lugha ya kigeni inafahamika kama "CARPENTER" Binafsi naweza sema ni mwanamke aliyewahi kujaribu kufanya kila kitu bila kuangalia jinsia yake na umri wake.

Hapa Jancita Mutesh, akifanya kibarua kwenye shamba la muwekezaji ili kujipatia kipato cha kusukuma maisha yake ya kila siku.

"NO PAIN NO GAIN" Huo ni msemo wa lugha ya kigeni maana bila maumivu huwezi kufanikiwa, na ndivyo ilivyo kwa mwanamke mwenzetu hapa Jancita Mutesh, baada ya kuhangaika kwa kipindi kirefu sasa ameamua kujiajiri na kuajiri baadhi ya wafanyakazi katika shughuli zake za kila siku. Kweli "NO PAIN GAIN"

0 comments:

Post a Comment