Mama wa Kiafrika leo hii amekua kama Simba ambaye ili ale ni lazima awinde mwenyewe, hii inajidhihirisha kwa wengi kuona ni jinsi gani wa mama Afrika hususani wa Kitanzania wanavyoangaika juani kujitafutia riziki zao za kila siku bila kujali ana familia au yuko peke yake. Naiomba Serekali yangu ya Tanzania, iwape kipaumbele wanawake wa Tanzani katika maswala ya kijamii ili kujiendeleza kimaisha. Tunasherekea miaka hamsini (50) ya Uhuru na maandalizi ya miaka Hamsini mingine. MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA. |
0 comments:
Post a Comment