Kiukweli sipendi na nachukia sana uvaaji wa aina hii maana ni kujidhalilisha na kujishushia heshima yako mwenyewe. Kila ninapoona vijana wa Kitanzania wanapojidhalilisha kwa kuvaa suruali chini ya makalio, ningekua na uwezo ningeanzisha seria kali dhidi ya uvaaji huu wa suruali chini ya makalio.
0 comments:
Post a Comment