TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, October 18, 2011

"WATOTO WA MITAANI WANAVYOTAABIKA"


Tazama mtoto akiwa analea mtoto mwenziye......



Wanafuraha lakini wanataabika sana jamani, hapa wakiwa katika maeneo yao ya kujilaza. Matatizo haya na mengine mengi niliamua kuyaweka kwenye filamu yangu mpya ya"TIME AFTER TIME" itakayotoka hivi karibuni.

Tazama watoto kama hawa wameshaanza kujichoma sindano za madawa ya kulevya, kweli taifa kama hili linaelekea wapi?

Ni kama wafanyabiashara ambao huamka hasubuhi na mapema kwaajili ya kujitafutia riziki zao za kila siku hali kadhalika kwa watoto hawa wa mitaani hufanya hivyo hivyo.
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WATOTO WA TANZANIA"

0 comments:

Post a Comment