TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, May 28, 2013

R.I.P MANGWAIR.....

  Msanii ALBERT MANGWEA (Ngwair), amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini.
Rafiki anasema hakuamka toka jana alipolala. Tutazidi kuwa habari kadri zinavyonifikia.

0 comments:

Post a Comment