Tuesday, September 27, 2011
WAKENYA NA PICHA ZA NGONO....
Kiukweli Bara letu la Afrika linaelekea kulaanika kwani Serekali zetu zisipokua makini Dunia itakumbwa na Sodoma na Gomora. Na sisi Afrika Mashariki tumeingia kwenye kupiga picha za utupu? natumai umejionea mwenyewe kila kitu kuhusu hao jamaa wenye huo mtandao walivyotiwa nguvuni na Serekali ya Kenya..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment