TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Wednesday, January 11, 2012

"MIMI NI MWANAMKE TENA WA KISASA NAJUA KILA KIHUSU MWANAMKE, NA MWANAMKE KAMILI NI PAMOJA NA USAFI NA MAPISHI"


"Mimi ni mwanamke najitambua, na katika kujitambua kwangu ni lazima nijue kila kitu kinachomuhusu mwanamke, kama usafi wa mazingira, usafi wa ndani, usafi na mavazi pamoja na kupika.

Ni lazima kufua kila inapobidi.....

Mara nyingi napenda kula chakula nilichoandaa mimi mwenyewe na ndiyo maana ninapokua nyumbani naandaa chakula mimi mwenyewe."

"Nikiandaa chakula cha mchana...."

"Nimesikitika sana kuona chombo flani cha habari (Blog) kikiniandika kua sijui kupika. Leo nawaeleza wazi mashabiki wangu na watembeaji na blog hii kua mimi ni mpishi mzuri sana na hata ninapokua na mpenzi wangu anapenda sana kula chakula nilichoandaa mimi"



0 comments:

Post a Comment