Jacquline Wolper, na Jenifa ambaye ni wahusika wakuu wa Filamu mpya inatarajiwa kutoka siku za karibuni ijulikanayo kama ''UNCLE JJ AFTER DEATH'' Filamu inayozungumzia maisha baada ya kufa Steven Kanumba. Filamu hii imewachukua Jenifa na mwenziye Patrik ili kuweza kufikisha ujumbe moja kwa moja kwani ndiyo walihusika moja kwa moja kwenye Uncle JJ akiwa hai ''Kanumba'' Pia wapo Mastar wengine wakubwa kama Shamsa Ford, Irene Paul, Patcho Mwamba, Mya, na wengine wengi. Pia Yupo kijana anayekuja kwa kasi ambaye ameshahabiana vilivyo na Kanumba ndiye amechukua jukumu la kuwalea watoto hao Patrik na Jenifa. |
0 comments:
Post a Comment