Isha Ramadhani (ISHA MASHAUZI) alipokua akiingia ukumbini na style ya Siwajudii viwavi jeshi. |
Akitumbuiza mashabiki kwenye ukumbi wa Travetine Magomeni. |
Isha Mashauzi kwenye jukwaa. |
Bilal Mashuzi 'kulia' akiwa na Isha Mashauzi kwenye uzinduzi ya 'SIWASUJUDII VIWAVI JESHI' |
Shabiki wa Mashauzu Classic akiselebuka na Isha Mashauzi. |
Huyu ni Abdumalik, muimbaji wa kundi la Mashauzi Classic ambaye alipagawisha na wimbo wake wa 'SITAKI TENA KUPENDA.' |
''AKIIMBA..'' |
Hii ndiyo Style ya akiimba wimbo huu wenye historia ya kweli ya maisha yake. |
Mpiga gitaa wa Mashauzi classic. |
MASHABIKI. |
Mama mzazi wa Isha Ramadhani naalitumbuiza siku ya Uzinduzi wa Siwasujudii Viwavi Jeshi. |
Mashabiki wakiselebuka kwenye uzinduzi. |
0 comments:
Post a Comment