Kila mtu anatambua kuwa mtotot ni taifa la kesho, nawaombeni wazazi na walezi mtazame kwa umakini picha hii na kugundua kuwa mtoto anapaswa kusikilizwa na kupewa muda wa kufikiriwa pia. Watoto hawa wanaonekana wakipiga vyombo ambavyo vinaonekana kuwa niufundi wao wenyewe. Na kama wakiendelezwa wanaweza kuwa wanamuziki wakubwa kabisa duniani na kuitangaza vizuri kabisa taifa lao. Tusiamini tu kuwa mtu anafanikiwa kwa kusoma shule hizi za kawaida, bali hata kipaji alichonacho mtu akiendelezwa anaweza kufanikiwa kuliko kukazania elimu ya madarasa kumi na mbili na kufika mpaka chuo. |
0 comments:
Post a Comment