MSHIRIKI MISS TANZANIA NAYE AINGIA KWENYE TASNIA YA BONGO MOVIES...
Husna Maulidy mshindi namba mbili wa Miss Sinza na mshiriki wa miss Tanzania ameamua kujikita kwenye movie kama kujaribu bahati yake. "Movie ni kipaji ambacho anacho siku nyingi ila tu sikupata bahati ya waandaji kuona kipaji changu nashukuru kwa sasa ndiyo nimeingia rasmi kwenye hi tasnia." Hata hivyo amesema kua amewahi kushiriki baadhi za movie hapa nchini kama "PLAYERS CLUB" na nyinginezo kadhaa. "Si kama nabahatisha ila nawaambia ma-actress waliojuu kuwa naja kwa kishindo na naomba wanipokee. Mimi binafsi namkarisha kwa mikono miwili na ajitume na kuwa mvumilivu kwani mafanikio hayaji kwa urahisi.
Husna akiwa pamoja na Hemedy Suleiman, wakiwa tayari kuanza scene.
0 comments:
Post a Comment