Picha mbili za mwanzo ni katika show yake ya Zanzibar 22 January Bwawani Pemba ambapo inasadikika palikuwa na watu wasiozidi 50 na viti vingine vyote vilikuwa tupu. Kiingilio kilikuwa 10,000 kawaida na 15,000 VIP.
Picha ya tatu (chini kabisa) ni show yake aliyofanya usiku wa Valentine Jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kiingilio kilikuwa 20,000
Je, Unafikiri kwanini shows zake zinakosa watu sikuhizi? HABARI KWA HISANI YA JAMII FORUM.
0 comments:
Post a Comment