TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Friday, August 30, 2013

DIAMOND AMKABIDHI GARI MZEE GURUMO.

Mzee Gurumo akipokea funguo toka kwa Diamond Platnumz.




Gurumo akionesha funguo mbili za gari alizopewa na Diamond wakati wqa uzinduzi wa video ya MY NUMBER ONE ya Diamond Platnumz alioifanyia Afika Kusini video iliyogharimu $30,000/= kwa mujibu wa yeye mwenyewe.
Diamond na Jacquline Wolper.
Diamond na Salma Msangi mtangazi wa Chanel Ten.
Diamond na mpenzi wake Penny.

0 comments:

Post a Comment