Naingia Ramadhani kwa matumaini makubwa kuwa ndiyo kipindi hiki ndiyo kipindi changu cha kufanya Toba na kuomba radhi kwa wale wote niliyo wakosea kwa Imani kua mimi ni binadamu, kukjosea ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote.
Hivyo nitahakisha simkwazi mtu na sipendi mtu akwazike kwasababu yangu.
0 comments:
Post a Comment