TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Saturday, June 22, 2013

MSANII BARNABA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI LEO....

Thumbnail for 1789
Msanii wa kundi la THT Barnabas Elias maarufu Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajili ya leo jumamosi Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam, Mama mzazi wa msanii huyo alifaliki kutokana na Presha.
Tunawapa pole Ndugu na Jamaa wa karibu wa familia ya Barnaba katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wao

0 comments:

Post a Comment