TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Wednesday, August 1, 2012

DIAMOND AZUNGUMZIA MAENDELEO YAKE KIAFYA.....

DIAMOND HATUNAE TENA...!!!

"Diamond hatunae tena"....hiyo ndo ingekuwa heading na kichwa cha habari cha media na watu wengi kwenye social networks na simu zao za mikononi kwa siku ya jana....Kiukweli hali yangu ilikua ni mbaya sana,nilizidiwa na homa kali ya ghafla iliyosababishwa na kifua kilichonisumbua kwa takribani wiki mbili mfululizo....hadi kupelekwa Heameda Medical Clinic kwa Doctor Hery M. Mwandolela, Specialist wa Heart and Cough kwa uchunguzi na vipimo vikubwa maana hali haikuwa ya kawaida.....namshkuru Mwenyezi Mungu baada ya vipimo vyote iligundulika ni kifua cha kawaida tu ila kilisababishwa na tour na ziara nyingi nilizozifanya mikoa na nchi mbalimbali kwa mfululizo bila mapumziko ya kutosha..
kwa sasa hali yangu si mbaya sana...nawashukuru wote mliokuwa mkiniombea kupitia Blogs, Twitter, Bbm, Facebook...etc, na Media zote niweze recover. PICHA ZOTE NA HABARI NI KWA MUJIBU WA THISISDIAMOND.COM











0 comments:

Post a Comment