Kuna baadhi ya maeneo kiukweli huwezi toka na mwanao hasa kama unajiheshimu kwani mwanao au mtoto unaemlea anaweza akakudharau wewe uliyempeleka eneo hilo kwani si sehemu yake. Tazama picha hii hapo juu maana wanafamilia wametoka Picknique lakini waliyoyakuta humo ni mauzauza matupu. |
Wednesday, September 28, 2011
"JAMANI WAZAZI, TUANGALIE SEHEMU ZA KWENDA NA WATOTO ZETU..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment