"TAZAMA DENT HUYU WAZAZI WAKE WANAJUA YUKO SHULE TENA BOARDING"
Wazazi wa msichana huyu wanajua mwanao yuko shule kumbe ikifika usiku kwake ndiyo kumekucha. Wazazi jamani tuwe tunafatilia maendeleo ya watoto wetu ikiwezekana kila mwezi ili kulinda maendeleo yake binafsi.
0 comments:
Post a Comment