TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Monday, May 21, 2012

40 YA KANUMBA WASANII TUMEJUMUIKA NA WATOTO YATIMA...

Mama wa marehemu Steven Kanumba mwenye kitambaa cheupe kichwani, akisindikizwa na Herriet Chumila kuweka mshumaa kwenye kaburi la Kanumba.

Wasanii na marafiki wa Kanumba wakiweka Mishumaa kwenye kaburi hilo.

Setty ambaye ni mdogo  wa kanumba  katikati  aliyemevaa  miwani.

Jacquline wolper akiwa  pamoja  na familia  katika  kumwombea  marehemu






Mama  kanumba  akiwa  na  watoto  yatima

0 comments:

Post a Comment