TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, May 29, 2012

KAMA HUNA MAPENZI NA MAMA YAKO, UTAKUA MWENDAWAZIMU.

Mama ni mtu ambaye anastahili heshima duniani kote bila kujali maumbile ya mama yako au bila kujali nafasi uliyonayo katika jamii unayoishi...

0 comments:

Post a Comment