Naomba mashabiki wangu na Watanzania kwa ujumla waelewe kua mimi siyo mshiriki, mshabiki wala mfuasi wa kiimani ya Freemasons. |
Inavyoonekana mtu ukipata mafanikio kidogo basi wewe ni mfuasi wa Freemasons. Mafanikio yangu ni kutokana juhudi zangu, uvimilivu, kumuhusisha Mungu na upendo kwa kila mtu.
0 comments:
Post a Comment