TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, June 7, 2012

UDHALILISHAJI HUU MPAKA LINI?

Ifike mahali binadamu tuheshimiane, mkubwa kwa mdogo, mvulana kwa msichana. Hivi haiwezekani kumkamata mtu kistaarabu mpaka mumdhalilishe au kumpiga na kumtoa thamani machoni pa watu?

0 comments:

Post a Comment