Hivi ndivyo wakazi wa Kariakoo walivyokua wametawanyika baada Jeshi la Polisi na vikosi vya kutuliza fujo kupiga mabomu ya Machozi. |
Askari wa kutuliza fujo wakipita maeneo ya watu kuhakikisha hakuna kundi lolote linaandamana. |
Wakazi na wafanyabiashara wa Kariakoo wakiwa wamesimama kando kando ya maduka yao kusubiri hali itrulie. |
Land Rover nyeupe iliyokua imebeba waandishi na watangazaji wa habari toka TBC1 kwafuatilia mwenendo mzima. |
Askari wa kutululiza ghasia wakifanya doria eneo la msimbazi ambako ilisemekana ndiko maandamano yaneaanzia. |
FFU wakiwa wanalinda usalama karibu kabisa na msikiti ambako Waislam walitaka kuanza maandamano. |
Askari wa usalama walihakikisha hakuna maandamano yakifanyika na walifanikiwa kwa asilimia 100. |
Waaumini wa dini ya Kiislam wakiwa nje ya msikiti wakisubiri maandamano lakini askari walweza kuwadhibiti na kuhakikisha maandamano hayo hayafanyiki. |
Hapa wakijadili jambo. |
Baada ya nuda walikubaliana kwa pamoja kuvunja maandamano hayo. |
Wakazi wengine wakiamua kukaa juu ya nyumba zao wakitazama kinachoondelea. |
Askari walizidi kufanya doria kuhakikisha hakuna makundi kabisa. |
0 comments:
Post a Comment