Marehemu Grace Mbowe, (kushoto) na pichani ni siku ambayo alijiunga na Chama tawala (CHAMA CHA MAPINDUZI) lakini hivi sasa ni marehemu. Grace amefariki kwa ajali ya gari yeye na mumewe wakiwa safarini kuelekea Dar-es-Salaam, maeneo ya Segera ambapo umauti uliwafika mda mchache wakiwa hospitali. |
0 comments:
Post a Comment