Ndugu wa karibu kabisa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mheshimiwa Freeman Mbowe, Grace Mbowe, amepata ajali maeneo ya Segera akiwa njiani kuelekea Dar-es-Saam. Taarifa zinasema akiwa kwenye gari aliokua akisafiria alipata ajali na kupoteza maisha yake muda mfupi kabla ya kufikishwa hospitalini. Mimi nampa pole Mheshimiwa Mbowe na familia yake yote, pia Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.
Sunday, September 29, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment