Watanzania wenzangu mama huyu anahitaji msaada wa hali na mali ili aweze kwenda India katika hospitali ya Apolo kuweza kutibiwa mguu uliomvimba. Kwa yeyote atakayeguswa na tatizo hili atoe mchango wake kupitia account namba 011201364730 NBC. Kinahitajika kiasi cha shilingi milioni 19. Kutoa ni moyo na si utajiri. Matatizo ni kwa kila mtu leo kwangu kesho kwako.
0 comments:
Post a Comment