
Nicole Kidman, anatengeneza mkwanja wa 24,800,000,000 kwa makadirio ya hela za kibongo.
2. Reese Witherspoon

Reese Witherspoon, hawajaachana sana na Nikole yeye hutengeneza mkwanja hadi kufikia sh 23,250,000,000 kwa hela za kibongo.
3. Renee Zellweger.

Renee Zellweger, Sh.23,250,000,000 ambapo ni kiwango sawa na Reese.
4. Drew Barrymore

Drew Barrymore,Sh.232,500,00,000
5. Cameron Diaz.

Cameron Diaz, Sh.23,250,000,000 hapa wamefungana kifedha..
6. Halle Berry

Halle Berry, Sh.21,700,000,000 hiki ni kiwango anachomiliki Halle Berry.
7. Charlize Theron

Charlize Theron, 15,500,000,000.
8. Angelina Jolie

Angelina Jolie, 15,500,000,000 Angelina Jolie naye anafungana na Charlize Theron.
9. Kirsten Dunst

Kirsten Dunst, Sh.12,400,000,000
10. Jennifer Aniston

Jennifer Aniston, Sh.12,400,000,000
0 comments:
Post a Comment