Pooja, (wa pili kushoto) akijianda tayari kwa kuinza safari ya kwenda kuombamba barabarani. Dada huyu anafanya kazi mbili, kuuza mwili na ombaomba na kama anavyoonekana hapo akiwa na familia yake.. |
Hili ndilo eneo analolitumia POOJA, katika shughuli zake za kila siku za kuuza mwili. |
Pooja akiwa na mteja tayari kwa kuinza shughuli inayomfanya atunze familia yake huko Mumbai India. |
Kama unavyomuona yuko kazini...... |
B
Haya sasa Pooja akiwa anaombaomba kwenye magari makubwa ya mizigo kwa muda wa mchana na usiku kama kawaida mtamkuta kwenye mawindo yake ya kuuza mwili. |
Biashara hasubuhi jioni mahesabu. Pooja akihesabu alichokipata kwa siku nzima.... |
Wakati mwingine huenda kwenye majakuzi (swimming pool) kwaajili ya kucheza na kujipatia fedha.. |
POOJA |
Hizi ni Condom ambazo zimetumika katika eneo ambalo Wanawake wa Muambai ulitumia kutupa Condom baada ya kuzitumia. |
0 comments:
Post a Comment