TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Monday, September 19, 2011

"ULEVI NOOOOOMAA...."

Picture
Jamaa hajitambui sijui kama watoto wa mjini wamemuona...
Haijalishi unakunywa nini ilimradi wote tulewe tilalilaa...hii ni mbege kwa wale ma-mangi wanaijua.

0 comments:

Post a Comment