TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Monday, September 19, 2011

WABUNGE NA MADAWA YA KULEVYA...


Wabunge wakipata maelekezo kuhusu dawa hizo.
Mtaalamu wa kitengo cha madawa ya kulevya wa pili kulia, akiwapa maelezo kuhusu madawa ya kulevya jinsi yalivyo..
Haya ni baadhi ya madawa kulevya yalipelekwa Bungeni kama kutoa fursa kwa wabunge kuweza kuyafahamu..


0 comments:

Post a Comment