Mlimbende ambaye pia ni muigizaji kunako kiwanda cha Filamu Tanzania Wema Abrahamu Sepetu, ameweka wazi mahusiano yake na Abdul Naseeb (Diamond) kua anafurahia sana mahusiano hayo kwani ni kitu ambacho alikua akikitafuta kwa mda mrefu na kwa sasa anaona kama Diamond ndiye chaguo lake la kweli. Akizungumza kwa njia ya simu na chanzo changu cha habari amesema kuwa watu wengi wamekua wakimtamfisir vibaya kwani amekua akihangaika na wanaume kila kukkicha kitu ambacho si cha kweli. "Ujue kila mtu anapenda kupendwa lakini mimi hapo awli nilikua nikiwapa watu nafasi nikidhani kuwa wananipenda kumbe walikua wakini-cheat, lakini Diamond kweli ni mwanaume anayejua kupenda na sijui kama anawerza badili uwamuzi wake kwa kweli He's so sweet kwa kweli" Hayo ni maneno ya Wema kupitia simu yake ya mkononi. Tunawatakia kila la heri Wema na Diamond katika mahusiano yao. |
0 comments:
Post a Comment