Ukweli ni kwamba, au kwa harakaharaka ukitazama picha hii utagundua utofauti flani katika malezi ya watoto wa Kiafrika na wenzetu walioendelea, tofauti ni kwamba sisi watu weusi tunaamini kuwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe na ndiyo maana sisi huwa tunapenda watoto wetu wakue ili tuanze kuwatumikisha kazi ndogogo bila kujali kama kazi hiyo inaweza kumuathiri mtoto au la. Tazama mtoto amebebeshwa kitu flani ambacho kinaonekana ni kidogo lakini atakua na maisha hayoyo mpaka anakua mtu mzima. |
0 comments:
Post a Comment