Jumapili hii ya tarehe 6/11/2011, nitafanya tafrija ya ubarikio wa mdogo wangu utakaofanyika Kibaha ambapo nimewaalika watu maalumu bila kadi ili kuweza kushiriki nao pamoja katika chakula, vinywaji na baadaye kucheza muziki kidogo. Hata hivyo sitaishia hapo baadaye kidogo nitaamia kwa watoto yatima popote walipo ili kujumuika nao kwenye kuwapa kile kidogo nilichonacho kama kurudisha fadhila kwao. |
0 comments:
Post a Comment