Kiukweli wazungu ni ndugu zetu sawa, ni marafiki zetu ni sawa, na wengine ni wapenzi wao ni sawa lakini wanazidi kutudhalilisha kama si kutudharau, maana walitufunga minyororo kama mbwa, wakatupiga mijeledi kama punda, wakatuvua nguo kama mnyama aliyechinjwa, wakaona haitoshi wakachukua rasilimali zetu na nguvu kazi zetu nyingi, na leo hii wameona leo watuletee ushoga, kiukweli hili ni swala ambalo halitakiwi kufumbiwa macho kabisa maana ni kudhalilisha utu wetu na na Heshima yetu. Inamaana sis Waafrika hatuwezi kufanya vitu vyetu wenyewe mpaka wazungu watusaidie? Waafrika tushirikiane kwa pamoja kuhakikisha suala la ushoga na usagaji linapigwa vita Tanzania na Afika nzima. Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania iondokane na Ushoga na Usagaji. |
0 comments:
Post a Comment