Marehemu Godfrey W. Mlela akiwa amelazwa kwenye jeneza. |
Mtoto wa Marehemu Yusuph Mlela akiwa mbele kabisa huku ameshikilia msalaba wa marehemu baba yake mzazi.. |
Yusuph Mlela aliyeshika msalaba akiwa na mdogo wake mara baada ya kumaliza ibada ya misa maeneo ya Kunduchi na kuelekea mazikoni.. |
Yusuph Mlela alishika msalaba akiwasili makaburini tayari kwa maziko. |
Mwili wa marehemu Godfrey ukiwasilishwa makaburini maeneo ya Kinondoni. |
Wadau wa Bongo movie nao hawakua nyuma katika mazishi ya mzazi wa Yusuph Mlela. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen. |
0 comments:
Post a Comment