TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, December 20, 2011

SISI NI WATOTO WA BABA MMOJA, NA MAMA MMOJA.

Nilikua wa kwanza kufungua Champaign.....




Irene Uwoya akikata keki kwaajili ya kuwalisha waalikwa...

Kwa kuanza alianza na mumewe, msuma kandanda Ndikumana...

Akifuatiwa na ngfuli la filamu Bongo Jacob Steven (JB)....

Zamu ikafika na mimi nikapata kipande changu cha keki...

Wema Issack Sepetu, mwenye nguo nyeupe naye alijumuika katika kupata keki...

Jacob Steven (wa pili kulia) akiongelea maneno yaliokua yamesababisha mvurugano kati yangu mimi, Irene Uwoya na Wema Sepetu...

Hakuna Bifu tena "Sisi ni ndugu, na tunafanya kazi mmoja haina haja ya kumruhusu Shetani atujaribu."

Muaaaahh.....

"Kiukweli tunamshukuru Mungu maana ametupiginia mpaka leo hii tuko pamoja hakuna matatizo tena japo wengi walifurahia sisi kuhitilafiana lakini Mwenyezi Mungu yupo pamoja nasi na sasa ni kazi tu. Pia tunawashukuru wale wote waliokua karibu na sisi katika kufanya mambo haya kuisha salama. SASA SISI NI WATOTO WA BABA NA MAMA MMOJA.

0 comments:

Post a Comment