Tunahitaji maendeleo katika bara letu na nchi yetu kwa ujumla, lakini usalama pia ni muhimu katika kutupatia maendeleo. Ukitazama picha hii utagundua usalama wa wakazi au wafanyabiashara wa eneo hili ni mdogo sana. Sijajua kama wametengewa eneo hili au ni wao wenyewe wameona kua eneo hili ni muhimu na salama kwao kufanyia biashara zao.
0 comments:
Post a Comment