Tazama wakati wewe unachagua chumba ama kitanda gani ulale, kuna binadamu wenzako wengi ambao wana matatizo zaidi yako, ama kutokuona na ulemavu uliosababishwa na ugonjwa ugumu wa maisha wakiwa wanalala chini bila hata shuka wala kitenge cha kujifunika, lakini wamekuwa na amani na upendo na nchi yao. Tusaidie jamii hii ya watu wenye shida mbali mbali ili ipate unafuu wa maisha bora kwa kila Mtanzania kama alivyoagiza Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete. |
0 comments:
Post a Comment