TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, November 29, 2011

WEMA NI MDOGO WANGU -WOLPER

Kiukweli nimeamua kuweka wazi maana kila kukicha nasumbuliwa mimi kuhusu ugomvi wangu na mdogo wangu Wema Sepetu. Kiukweli hata kwenye hi tasnia bongo movie mimi ndiye nimeanza mda kidogo zaidi yake, pia yawezekana yeye ni mkali zaidi yangu hilo mimi sijui ila mashabiki ndiyo wanajua mimi na yeye nani mkali, Kiukweli mimi na Wema Sepetu ni marafiki na wala hatuna ugomvi wowote kuhusiana na kitu chochote kile na ndiyo maana hivi karibuni natarajii kuingia naye Kambini na kuanza kufanya movie yetu kwa hiyo siwezi kuwa na bifu Wema. Pia nawaomba watu wanaopenda kuzusha vitu ambavyo si vya kweli. Nampenda Wema, namuheshimu Wema, pia namtakia kila la kheri kwa analolifanya.

0 comments:

Post a Comment