Baba wa Kimasai waliuwa ndoto za watoto wao wa kike kwa kuwafanya walezi wa wadogo zao. Kiukweli ni vipaji vingi Vilikufa kwa kuchunga mifugo. |
Mwanamke wa Kimasai alipaswa kuionesha upendo kwa wanae na si kwa mumewe kama ilivyo kwa jamii nyingne. Muda mwingi ulikua waliutumia kukaa na watoto. Kama inavyoonekana pichani. |
Kinachonishangaza ni kwamba kwa sasa Wamasai wamekua wakituuzia dawa kwaajili ya matabibu mbalimbali ilihal iwao wakiugua wanaenda hospitali, inamaana dawa zao hwaziamini au ndiyo "MGANGA HAJIGANGI?" |
0 comments:
Post a Comment