TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, January 5, 2012

MAZOEZI KWA MWANAMKE NI MUHIMU

Ufanyaji wa mazoezi hasa ya viungo hukufanya ujisikie vizuri na kuwa na Afya njema kabisa. Pichani mwanadada akionesha misuli yake baada ya kutoka Gym.

0 comments:

Post a Comment