TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Wednesday, January 18, 2012

UMASKINI WA BARA LETU LINA WAATHIRI VIPI WATOTO WA KIAFRIKA?

Bara la Afrika ni bara lilobarikiwa kuwa na utajiri wa rasmilimali za kila aina ikiwemo madi, maziwa, bahari, misitu, madini na rasilimali nyingine nyingi.
       Lakini viongozi wetu wanaanda vipi rasilimali hizo kwa taifa la kesho? Wanaoathirika zaidi ni watoto na wanawake. Tazama picha hii mtoto wa Kiafika alivyopoteza matumaini kabisa kwa umaskini wa taifa lake na bara lake kwa ujumla.

0 comments:

Post a Comment