Moja ya kipande kilichopo kwenye Mr. No body. |
Nilipoingia mikononi mwa majambazi kutaka kunitoa roho yangu.... |
"Tino aliyecheza kama mpenzi wangu naye kaingia mtegoni... |
Badra naye alihusika vilivyo.... |
Shilole naye alikua mbele kuonesha ushirikiano wake..... |
Mr. No body ni filamu yenye mahadhi ya Kitanzania niliyoicheza kwenye pori la Kijeshi liliko nje kidogo ya mji wa Dar-es-Salaam. |
Nawashukuru sana wasanii wenzangu nilioshirikiana nao katika kuitengeneza filamu hii wakiwemo, Hisani Muya "TINO" Shilole, Dino, Badra, na wengine wengi wazoefu.
0 comments:
Post a Comment