Hawa ni baadhi ya wale akina mama wa Kitanzania wanaoteseka kila siku na maisha wanaoishi. Yawezekana wamezoea lakini katika kuzoea kwao pia wanapata matatizo makubwa kiafya. |
Umeme kwao ni shida, maji shida, huduma za afya nazo wanazipata mbali ambapo pamoja na kuzipata mbali, pia unaweza fika kwenyekituo cha Afya usipate huduma kitu ambacho ni huhatarisha maisha yao.
0 comments:
Post a Comment